Jumatatu, 1 Julai 2013

UFUNUO

NGUVU MBILI KUPINGANA

           Mnamo tarehe 5/5/2011 alfajiri ya saa kumi niliinuliwa nikiwa katika maombi Bwana Yesu akanipa ufunuo wa sababu za kupita katika kipindi hiki ambacho katika fahamu za wengi ni kipindi cha hatari,kipindi cha usalkiti na uharibifu,ni wakati ulio pingamizi kwa nguvu mbili zinazopambana.Zipo nguvu za ubaya na wema,zipo nguvu za giza na nguvu za nuru zitakutana hivyo wana wa Mungu waache utoto na wakue katika kusudi la Mungu Isaya 59:19 (So shall they fear the name of the Lord from the west and His Glory from the rising of the sun;when the enemy comes in like a flood,the sprit of the lord will lift  up a standard against Him.)na katika kusudi la Mungu kwa njia ya maarifa ya mapenzi ya Mungu siyo dini Efeso 4:15 (But speaking the truth in love may grow up in all things into Him who is the Head-Christ-)kuongea kweli katika upendo sio kiburi,siyo kujidai ni utii na agizo la Mungu ukiuficha ukweli wa kusema mkiuongea utawaumiza na kuwakwaza ni utovu wa nidhamu lazima kuchagua Mungu na Mwanadamu umkwaze nani?Tumekuwa na viongozi wengi wanaotaka kupendwa na watu wote huku wakimkwanza Mungu na kuleta laana kwa Taifa.Tusijichanganje kwa kudhani kwamba tunatembea katika Hekima ili tusiwakwaze wengine na kuficha kuweka wazi ukweli na kudhania ya kwamba ndio upendo na wale wanaojua ukweli wankuwa wabaya kuliko uwongo kamili.Tumeamrishwa tuishike kweli katika upendo tusionyeshe kimoja na kuacha kingine wala tusiuseme ukweli wa kiburi bali tuonyeshe upendo wa Mungu katika kweli kwa hiyo kweli na upendo vinaenda pamoja japo ukweli unauma,mara nyingi tunashidwa kueleza yale Mungu aliyoweka wazi kwa kuogaopa kuwaambia sisi ni wale manabii wa uwongo,tunaogopa kuudhuwa kwa sababu tunatafuta watu watupende tumesahau kwamba Paulo Mtume alimbambia mwane wa kiroho aliyekuwa anaitwa Timotheo maana yake heshima ya Mungu.2Timotheo 3:12 Naam na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo  Yesu wataudhiwa (Yes and all who desire to live Godly in  Christ Jesus will suffer persecution.)Kwa hiyo kukataa maudhi na bugudha ni alama ya utovu wa nidhamu na Biblia inasema katika Methali 18:24 Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe lakini yupo rafiki ambatanaye na mtu kuliko ndugu watu wasiotaka kuudhuwi,kubughudhiwa siku zote wanajitahidi kutafuta marafiki wapedwe,wasifiwe,wapongeze,hawajui kwamba wanajiangamiza wenyewe maana huwezi ukapedwa na watu wotekuwa na marafiki wengi ni mtego wa kufanya uongee watu wanayoyapeda padala ya Mungu anachokipeda na hapo utamkosea Mungu na kumpendeza mwanadamu neno la Mungu linaseema kuogopa mwanadamu huleta mtego wengi wameogopa kuitwa manabii wa uwongo.Sababu nyingine za kuogopa kwao nmi kutokujua nini maana ya nabii na unabii.nabii na unabii ni kufunua mapezi ya MUNGU,Nabii ni mtu ajulishae mapenzi ya Mungu,Nabii ni mnenaji wa Mungu,Nabii ni mkalimani wa Mungu akitafasiri lugha ya kiroho au msemo wa Mungu na kuiweka wazi katika ulimwengu wa mwili kwa hiyo ukisema neno la kweli Mungu aliloliweka wazi wewe hulisemei kanisa bali unatafsiri cha Mungu na kuweka wazi kwa watu wote ndio maana nabii anaweza kulikemea hata kanisa pale Mungu anapomwambia jambo nae akahakiki ni Mungu kweli kwa sababu viko vyanzo vya sauti za kinabii vingi ambavyo vingine sio Mungu.Kuna sauti ya adui,sauiti ya roho ya mtu mwenyewe na sauti ya Mungu mwenywe nimeona watu wengi wakinyoosha  vidole kwa mtumishi wa Mungu TB Joshua eti kwa sababu amefunua mambo mabaya yanayotaka kutokea na yakatokea wansema kwa nini anaona mabaya tu?ni vizuri ufahamu kwamba nabii ni mshipa wa ufahamu acha utoto,mshipa wa ufahamu hupokea tarifa nzuri na mbaya kupeleka katika ubongo ukiona kuna tatizo kwenye kiungo na ubongo haupokei taarifa ujue kuna ugonjwa uliouwa chembechembe hai,viungo vikiwa vizima taarifa za jambo lolote linalotokea lazima zipitishwe ziwe mbya au nzuri.,iwapo mwili una afya njema ni kweli kwamba maandiko yameeleza kuwa siku za mwisho patatokea manabii wengi wa uwongo Mt 24:11 Then many false phophets will raise up and deceive many)biblia haijasema kuwa manabii wote watakuwa wa uwongo,iwapo unaogopa unaogopa inspiration word of God kupitia watumishi wake ni alama ya utoto kwamba ujui kupambanua ukweli na uwongo ndio mana una woga tuache utoto kwa mfano ziko pesa ambazo ni za bandia je tukatae kusika pesa zote kwa sababu kuna pesa bandia?je hapo hatutakuwa kwenye pendi ya JJB(Jinga jazi bendi)lazima tutambue kuwa  vitu bandia vitakuwepo tu jifunze alama za vitu halali au halisi ili bandia ijapo upumbanue kwa haraka usiache kupokea noti kwa sababu kuna bandia utakuwa mjinga na kufa na njaa hebu tukue katika maarifda ya mapenzi ya Mungu ili utoto utotoke,mimi kangajaka nasema hivi simo miongoni mwa manabii wala baba yangu hakuwa nabii yawezekana hata dhehebu langu haliamini suala la unabii lakini nasibitisha kwamba Mungu anaongea natambua kwamba roho wa Mungu ni roho wa unabii katika Ufunuo (1:1-3)hapa inaonyesha roho wa Yesu kristo ni roho wa unabii anaweza kusema na watu kwa ndoto,kwa maono,kwa sauti ya ndani(inner voice)kwa neno(andiko)na kwa kutumia ngoma za sikio au akaongea kwa alama(spiritual symbolism)akiweka wazi mambo yaliofichika hata kama watu wakikataa Mungu ni mkweli twjua asemi uongo ebrania 6:8 That by two immutable thing in which its impossible God to lie.................kwa hiyo tutambue kwamba wapo manabii wa ukweli wanaoweka wazi mapenzi ya Mungu,bwana ameweka wazi ndani yangu jambo hili kuwa adui atainua mafuriko ya uovu mambo unayoyaona yameandaliwa kuzimu watu wamefanya ibada za kuzimu wengine wana nafasi katika Taifa wanakataa ukweli lakini roho wa Bwana atainuka kwa kiwango cha juu ili kumpinga adui na neno la ahadi kwa wale watu wanaosimama upande wa bwana japo kwa kitambo yako maudhi na bughudha wakati wote wa utaona MUNGU anapoudumia watu wake toka mawio hata macheo yake toka vipindi vya hatari hata vipindi vya baraka bwana atatimiza ahadi yake isaya 59:19" So shall they fear the name of the lord from the west and his glory from rising of the sun when the enemy comes in like a flood,the spirit of the lord will lift up the standard against him" kutakuwepo na mlolongo wa vifo na target itakuwepo kwa viongozi pia sisi kama kanisa tunapaswa kusimama katika roho a umoja na kuomba rehema na wale wanaotaka kumkimbilia Mungu watahudumiwa kiungu isaya40:5" The glory of the lord shall be revealed,and all flesh shall see it together fo mouth of the lord as spoken" Wenye mwili ni wa kina nani
(a)Wale walio na neno la Mungu ndio mwili wa roho na Mungu hutembea na kuliangalia neno lake Yeremia (Then the lord si aid to me "you have see well for am ready to perfom my word"
b)wenye mwili ni wanadamu wote wataona Mungu alichosema kikitimia  katika isaya 45;6-7:( ili wapate kujua toka wawio ya jua na toka magharibi hapana mwinginezaidi ya mimi,Mimi ni bwana hapana mwingine mimi naumba nuru na kkuhikumu giza mimi nafanya suluhu.na kuhukumu mbaya.Mimi ni bwana niyatendaye haya yote isaya52:10;Bwana ameweka mkono wake mtakatifu machoni pa mataifa yote ya nhi zote za dunia zitauwona wokovu wa Mungu wetu (inaonya wazai mkono wa bwana au uwepo wake utakavyo jihidhihirisha katika disaster zitakuwepo disater hata katika nchi zile zisizotegemewa sababu hazijasikika kuwa na hali hizo bali katika mambo haya yote mkono wa bwana upo wanaomtegemea bwana hata waacha waangamie na ndani ya wateule kutakuwepo na roho ya kusalitiana na hali hii itakuwa kipimo cha kukua.Atakaye kuwa amwlishika neno la Mungu kwa utu wa ndani sio kichwani Rum 7:22(Naipenda sheria ya Mungu kwa utii wa ndani)utadhibitika roho ya dini yaweza lete uharibifu bali roho wa bwana huzejesha mahusiano(Alama ya mtu kukua ni matunda yake)Haitakiwi hamaki katika kipindi hicho zingatia ondoa manung'uniko
Manung'uniko yanaalika uharibifu kwa hiyo ondoa hali hiyo na kipimo jifunze kujipima mwenyewe 2kor 13:5(Jijaribuni wenyewe kwamba imekuwa katika imani,jidhibitisheni wenyewe au hamjijui wenyewe kwamba Yesu kristo yu ndani yenu?isipokuwa mmekatiwa .Ni kipindi cha kuomba rehema na roho ya ufunuo kwa yote utakayo yasikia usiruhusu hamaki uyaonayo uwe tayari kuongozwa na Roho Mtakatifu na neno.Sababu bwana ataka kufanya jambo jipya katika maeneo ya pepo zote nne za dunia.
a)Katika upepo wa jeshi atafanya jambo jipya
b)Katika upepo wa kidini atafanya jambo jipya
c)Katika upepo wa kisiasa atafanya jambo jipya
d)Katika upepo wa kiuchumi atafanya jambo jipya
         Acha hamaki kuwa katika maarifa ya mapenzi yake onyesha ukomavu jiunganishe na nira ya bwana si vinginevyo mhubiri 1:29
Bwana atakuchukua katika level nyingine ili uwe na mahusiano na yeye,ukuu wa mkono wake utajifunua epuka kufanana na mwingine ili uwe yule avutaye pamoja na Bwana hilo alilokusudia kwa kanisa,Taifa na hapo utaushukuru mkono wake mwema kwa wasio na nguvu wasioweza Mungu atakuwa ndio nguvu zetu Neh 8:10
Huduma ya kinabii itaongezeka kiasi,wengine watapata hofu 2kor 3:6 (Bwana atajifunua hata katika ya disaster iwapo tutaukubali ufunuo wake maana utafanya tuone wazi mkono wake na kukua katika kusudi lake sio kutumikia andiko bali roho.Msikilize Roho Mtakatifu ndio roho wa ufunuo.Kubali shauri la bwana ondoa ubinafsi kaa mkao wa toba ya kweli kwa aji la taifa lako hasa tanzaniana kanisa kwa ajili ya viongozi wote.kidini,kiserikali,ili Mnungu afanye alilokusudia

Hakuna maoni: