Jumamosi, 5 Oktoba 2013

THE PATIENCE OF FAITH .REV.3:10. Because you have kept the word of my patience WAKRISTO wa PHILADELPHIA walishika agizo la Yesu kwa kuzizngatia yale Yesu aliyo wafunza wakawa na subira yenye uvumilivu’ndipo wakapokea ahadi hii. I will also keep you from the hour of trial watu hawa walishika agizo ndio wakapokea ahadi.Nimuhimu sana kufahamu maana ya maneno Yesu aliyosema hapa.He doesn’t mean that trial and trouble will not come upon Christians.mmh hakusema majaribu na matatizo hayatawajia. Yesu alikua na maana kwamba kwakua wameshika Neno la subira yenye uvumilivu ata preserve roho kwao na atawaokoa katika siku yao yakusukwasukwa na satan.Yn17:15.Fahamu kua katika maisha yako ya Imani ipo siku ya Kujaribiwa ipo siku ys misukosuko na taabu inakuja Huduma yako itajaribiwa afya ako itajaribiwa.Imani yako itajaribiwa nilazima kupimwa.hata Taifa lako litapimwa. Viongozi watapimwa bila kujali wanatoka jamii gani?Kinachotakiwa uwe na msingi wenye nguvu.na usikivu kwa kuzingatia Yesu alichosema.ndio utakuwa ulinzi wako..Patience is more than endurance. Maisha ya mteule yako mkononi mwa Mungu kama vile upinde mkononi mwa mpigaji. Mungu anavuta akiwa na lengo anapima shabaha yake nawe mteule wala hujui.waona maumivu tu anapovuta upinde wa maisha yako wewe wahisi maumivu anakaza kila iitwapo leo’na kila baada ya dk anakaza wewe wasikia maumivu na kulia anavuta tena na tena hadi unazidi kulia YEYE.kama hasikii kilio chako He goes on stretching till his purpose is in sight. Ndipo anaachilia.unachopaswa kufanya kama mteule nikua na subira yenye uvumilivu. Trust yourself in God’s hands. Nabii isaya 8:17 kaa katika mikono safi ya Yesu kwa uvumilivu. Maintain your relationship to Jesus by the patience of faith.Ayubu anasema .though he slay me yet will I wait for him ’Imani ni ujasiri unaojengwa katika ukweli kua Mungu ni Pendo na Mtakatifu.japo huwezi muona lakini unamuamini; tena huwezi elewa afanyayo lakini unamjua na kuna majira ambapo kana kwamba yuko mbali tena kana kwamba Imani haitendi bado unajua yupo. Hivyo mahali pa kuanzia iwapo wataka kuwa mshindi ni ushindi wa YESU ushindi na Imani .ushindi wa YESU ni ushindi wetu tunaposimama katika Imani takatifu.PAUL anasemaRum’1:1God’s Righteousness has been revealed in his Son Jesus Christ. Jesus never sinned he was in every way pure and righteous. Hebr4:15 sisi nasi kwa Imani we can share in that righteousness ’hakuna haki ndani yetu kwa asili biblia inasema Rum.3:10-12. Lakini kwa njia ya Imani tuna obtain ile haki Ebr.12:14 hatuwezi kuokoka pasipo ku obtain ile haki katika Kristo.ndio maana injili ni muhimu sana.Injili ni habari njema kwa wote ambao hawakustahili wanastahilishwa bure tu kwa kumuamini Yesu kristo. Injili ni nguvu ya Mungu. It is the Power of God for the salvation of everyone who believes kwa kua tunapo amini ndipo tunahesbiwa haki na Mungu na tunakubaliwa katika ufalme wa MUNGU. Habakuk2:4 kwahiyo sisi hatutoki katika kushindwa kwenda katika kushinda bali tunaanzia katika ushindi wa Yesu,hivyo tuna anzia katika Imani kuja katika Imani kuu ndiyo maandiko yanavyo tuambia’tunatoka Imani inayotuongoza kwenye Imani kuu toka Imani hata Imani 1kor15:57 tunapewa ushindi wa YESU KWA imani.yeyote anayetaka kuwa mshindi lazima uanzie hapo.mashaka na kushindwa sio fungu letu kukata tama sio fungu letu acha kujiwazia kushindwa na kutawaliwa na ibilisi na magonjwa bila msaada bila tumaini. Sikia vizuri sana.bado liko tumaini kwa wale wanaosikia nakulitenda Neno la Jehovah. Isaya9:6-7 na Yn8:32,36 math17:20 shika neno la subira yenye uvumilivu,ahadi ya Bwana itakuwa yako.Mungu akuandae katika vita ya Imani. Adui yetu mkuu akiwa roho yakutotaka mafundisho ya kweli ya Neno la MUNGU.1TIMOTHEO6:12 Paul mtume anasema Piga vitavile vizuri vya IMANI shika uzima ule wa mileleulioitiwa,ukaungama maungamo mazurimbele ya mashahidi wengi. Ukisoma mstali ule wa 16 hapo tunakuta uhakika wa ushindi yetu hatuogopeshwi na mauti ya mwili sisi sio miili sisini roho na ukweli wa YESU UKIPENYA NDANI’ ya roho zetu unapeleka lishe katika nafsi zetu hivyo utu wetu wa ndani una kuwa na nguvu utu wan je lazima ukokotwe maana usiye muweza unatakiwa kumuunga mkono. Hiyo ndiyo kweli.sio ya hsia zetu bali kweli inayoongozwa na Neno la kweli la Yesu Kristo’Yn17:17 uwatakase kwa ile kweli.hapa neno kutakaswa ni zaidi yakufanywa msafi. Lina maana ya kutengwa,to set apart for especial purpose.kwa maana hiyo ukweli wa MUNGU unatutenga na uongo wote wa vitisho vya dunia.maana tunafahamu aliye na nguvu ni Yule aliye ndani yetu.sio Yule aliye nje yetu,ndio maana haijalishi hisia na akili zetu zinasema nini.haitustui sisi tunaoishi kwa Imani yenye subira yenye uvumilivu.ahadi yake ni kweli na amini YEYE hajawahi kusema uongo wala hana kivuli cha kubadilika. Katika kitabu cha Yakobo4;7 Basi mtiini Mungu.mpingeni shetani naye atawakimbia.huwezzi mpinga shetani nje ya msimamo wa Imani wa kuhesabiwa haki ya YESU,utaumia tu.ujasiri wetu na ujanja wetu ni ndani ya YESU pekee.pale tunapo mtii Mungu ndipo MUNGU hujitukuza kwa kuliangalia Neno lake nakulitimiza.Yeremia1:12 MUNGU YUKO MAKINI KWA NENO LAKE ILI LITENDE.YUKO MACHO KULIANGALIA LITIMIZE ALICHO SEMA.Philadelphia walishika neno naye Mungu mshika maagano alitimiza ahadi yake kwao.hata wewe na mimi leo tukishika.lipo jukumu la sisi kufanya ili naye atomize alichoahidi.acha roho yako ikubali ukweli wa neno lake acha upenye ndani ya utu wako w ndani.,

Hakuna maoni: